Saturday, April 21, 2012

Spika Afikisha ujumbe wa Watanzania wanaosoma Korea Kusini

Katika kuhitimisha hotuba ya Mhe Waziri wa mambo nje, Ndugu Membe, Mhe Spika kajitahidi kutufikishia ujumbe tuliomtuma wakati alipokuwa ziarani nchi Korea ya Kusini. Taarifa yote tutakuleteeni hapo baadae.

No comments:

Post a Comment