Showing posts with label Breaking News. Show all posts
Showing posts with label Breaking News. Show all posts

Friday, April 20, 2012

Saini za wabunge zazidi kumiminika!!

Zitto Zuberi Kabwe@zittokabwe
wabunge wa CUF na CDM wote wanasaini hivi sasa. Ifikapo saa tano tutakuwa na sahihi zote zinazotakiwa. Kuna wabunge 10 CCM........

Wednesday, April 18, 2012

Diwani wa CCM Ahamia Chadema

Diwani wa CCM kata ya Sombetini jijini Arusha ametangaza kukihama chama hicho tawala na kujiunga na Chadema leo hii asubuhi. Habari zaidi baadae!http://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/252389-diwani-ccm-aingia-chadema-arusha.html